Video ilichukuliwa wakati mtoto huyu mwenye maarifa aliye zaliwa bila ya kuwa na mikono akila chakula chake kwakutumia mguu wake.
Biti huyu aitwaye Vasilina mwenye makazi yake Russia anatumia kidole gumba cha mguu wake kupelekea vitu kwenye midomo yake.
Mama yake mzazi, Elmira Knutzen ndiye aliye ichukua video hii kwakutumia simu yake nakisha kuiweka kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Video inamuonyesha Vasilina akitumia videole vyake vya miguuni kushika kijiko na kukipelekea kwenye midomo yake ili kuweza kushiba dinner yake, Kwa hapo awali inaonyesha ugumu wa yeye kufanikiwa zoezi hilo ila hakati tamaa bali anazidi kujitahidi hadi kukipeleka kinywani.
Vasilina akiwa na Mama yeke Vasilina akiwa na Mama yeke Vasilina akiwa na kaka yake.
0 comments:
Post a Comment