WASANII wawili ambao ni
wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab
‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye mbuga ya wanyama ya
Serengeti.
Wawili hao waliondoka Dar es salaam Jumamosi wiki iliyopita na
kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi na baadae kuungana na
Rich Mavoko pamoja na Raymond Jumatatu ya sikukuu ya Eid (jana) kwa
ajili ya show Mkoani Tanga.
Wolper na Harmonize wakiwa kwenye bwawa la kuogelea
wakila bata pembeni ya bwawa la kuogelea
wakiogelea kwenye bwawa lililopo hotelini hapo
Walipowasili hotelini
katika pozi tofauti baada ya kuwasili
wakiwa na wahusika wa Napanda Safaris
wolper akiwa ndani ya hoteli hiyo ya kitalii
Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana Harmonize.
Kwa upande wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Tour ambayo iliwapeleka ameandika:
The experience we had together was extremely amazing! I Was so impressed with the way you guys handle each other. This left me with memories of the entire trip to Serengeti .Thank you so much for trusting Napanda Safaris to plan for your vacation .Can’t wait for our next plans as we discussed and the preparations has started now!
0 comments:
Post a Comment