Showing posts with label Picture. Show all posts
Showing posts with label Picture. Show all posts

PICHA 17: Jacqueline Mengi katuletea biashara ya Furnitures… ubunifu wake mwanzo mwisho

Ujazo wa jina lake Jacqueline Ntuyabaliwe ulianza kuongezeka toka aliposhinda Miss Tanzania mwaka 2000 na sasa anatumia Jacqueline N. Mengi baada ya kuolewa na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi.
Habari nzuri aliyotuletea Jacqueline September 15, 2016 ni hii ya duka lake jipya lililopo Seacliff Masaki Dar es salaam ambalo humo ndani zinauzwa Furniture mbalimbali za kuvutia yani utakutana na vitanda, viti, makochi na vingine kwenye uwanja huo.
Amorette ndio duka lenyewe na ni kampuni yake aliyoianzisha miaka michache inayodili na kufanya Interior designing lakini sasa kaleta brand ya Molocaho ambayo inadili na Furniture mbalimbali za ubunifu wake Jacqueline mwenyewe.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Picha: Mwalimu huyu azua gumzo kwa mavazi na uzuri alionao, Wazazi wa wanafunzi wapagawa

Paris Monroe
Mwalimu wa Shule moja mjini Atlanta nchini Marekani aitwae Patrice Brown, amezua gumzo mitandaoni kuzua mabishano makali kulingana na mvuto wa Umbo lake na aina ya mavazi anayovaa kama ni maadili ya taaluma hiyo.
paris-monroeMsichana huyo mwenye Followers zaidi ya laki kwenye mtandao wa Instagram, ametajwa kama ndiye mwalimu mrembo zaidi mjini Atlanta.
Wazazi wenye watoto wanaosoma katika shule anayofundisha Mwalimu huyo, wamedai mara nyingi huamsha ‘Hisia’ wamuonapo. paris-monroe patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-01 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-02 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-03 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-04 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-05 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-06 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-07 patrice-tricey-brown-paris-monroe-ig-09