Jumanne hii ni birthday ya mkali wa wimbo ‘Matatizo’, Harmonize ambapo
mastaa mbalimbali pamoja na mashabiki wake katika mitandao ya kijamii
wamem-wish kwa kumtakia heri na mafanikio katika maisha yake.
Kwa upande wa malkia wa filamu, Jacqueline Wolper ambaye ni mpenzi wa
staa huyo, ameonyesha maandalizi ya kitanda chache kilichopambwa na
madola pamoja na keki kwa ajili ya mpenzi wake huyo ambaye leo hii
ametimiza miaka kadhaa.
0 comments:
Post a Comment