Mtu wangu kama wewe utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia mahusiano ya mastaa basi penzi la Mrembo kutoka Bongomovie (Irene Uwoya) na Mkali kutoka Bongoflevani (Msami) litakuwa sio penzi geni kwenye macho yako leo October 19 2016 Msami ameweka wazi sababu za kuachana na Ireen Uwoya
‘kuachana
kama kuachana mimi sioni kama tumeacha kwasababu mimi na Ireen bado
tunawasiliana sema tu mimi niliona kuna vitu haviendi sawa nikaamua
kukaa pembeni yaani sina sababu maalumu ila niliamua tu mwenyewe‘>>>Irene Uwoya
0 comments:
Post a Comment