Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia
hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati
walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam
kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa
Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakiwajulia
hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo
jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El
Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba
12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment