VIDEO: Utani wa mchekeshaji Eric Omondi kwa wanaotaka kuwa kama Akothee

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia, Baada ya kufanya ile ya mambo ya kuzingatia kwa wale wanaotaka kuwa kama Diamond Platnumz leo katusogezea nyingine ambayo inamhusu mwimbaji kutoka Kenya Akothee. Eric Omondi katuletea mambo muhimu unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama Akothee.
Unaweza kumtazama Omondi kwenye hii video hapa chini…

0 comments:

Post a Comment