October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar
es Salaam mashabiki wa soka wa Afrika Mashariki hususani Tanzania
watapata nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba
dhidi ya Yanga, huu huwa ni mchezo wenye historia kubwa katika soka la
Tanzania, AyoTV imeamua kupita mtaania na kuwauliza mashabiki wa timu
hizo ni mechi gani wanazozikumbuka zinazohusisha timu hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment