Jamaa amrukia Kim Kardashian ili abusu makalio yake, Kilicho mkuta kipo hapa (Picha na Video)



Kim Kardashian amepata dhahama ambayo aliipata model Gig Hadid juma lililopita ambapo jamaa huyo alitaka kumshika modo huyo makalio, Lakini kwa wakati huu, Vitalii Sediuk, alitaka kuyabusu makalio ya Kim Kardashian nasio kuyashika.
walinzi-wa-kim-kardashian 
Wakati Kim Kardashian akiwa Paris, Walinzi wake wakiwa wamepitiwa tu waliacha upenyo wa jamaa kujichanganya kati ili aweze kukamata makalio ya mke wa rappa, Kanye West, na ayabusu lakini hakufanikiwa kwakuwahi kukamatwa na walinzi.
Kim Kardashiana anasema amevutiwa sana na jinsi walinzi wake walivyo simama kumuwahi jamaa huyo.

0 comments:

Post a Comment