Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja
na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa
china same place Canton Kama Picha zinavyoonesha Location ila hawajapiga
picha pamoja.. Ambapo mdogo wa GSM counselor Salaah amepost akiwa
Canton fair na wema na wolper wakipost wakiwa canton railway station
same area ila wamekuwa makini kutopiga picha pamoja au labda
hawafahamiani. Au labda ma baby wao idriss na harmonize ndo wamegharamia
safari yao ya china.. Au labda yule MCM aliyempost kawasponso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment