Mwambaji Vanessa Mdee Ametangaza kuwa hatakuwepo kwenye show kubwa ya
Mombasa ambayo awali ilitangazwa atakuwepo sambamba na Chriss Brown, Ali
Kiba na Wengine..Sababu alizozitoa ni kuwa waandaaji wa Show
hawakutimiza makubaliano yao ya mwanzo.
Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
0 comments:
Post a Comment