Video: Masanja Mkandamizaji – Moyo Mweupe Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za Gospel, ameachia video mpya ya wimbo ambao unaitwa “Moyo Mweupe”, video imeongozwa na Alex Joseck. Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment