VIDEO: Jikumbushe matukio ya kuchekesha katika soka 2016 Mtu wangu wa nguvu ambaye bado unasubiri michezo ya leo October 19 2016 ya UEFA Champions League, sio mbaya ukijikumbusha na matukio madogo madogo ambayo yanachekesha katika soka, naambiwa haya yote yametokea mwaka 2016. Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment