Kinazidi Kunuka Kati ya Baraka Da Prince na Stan Bakora..Stan Amjibu Baraka Kama Ifuatavyo

Unaambiwa utani ni Mzuri ila Utani ukiwa wa Ukweli sana Unauma na Ukimuuma aliyetaniwa akikosa Kifua tu cha kujizuia, Ugomvi anaweza akakuzulia.

Tunajua kabisa kwamba barakah The Prince ni Mweusi ila sasa Weusi alioutengeneza Stan Bakora kwenye Cover yake ya Wimbo wa Barakah The Prince ft. Ali Kiba, Stani alizidisha Weusi kwenye Kumuiga Barakah.

Sasa Hiki ndicho alichokipost barakah kwenye Instagram Account yakeKuonyesha kwamba Amekerwa na Utani wa Stan Bakora.


Baada ya Barakah Kufunguka hayo kwenye Instagram, Stan Bakora naye Amefunguka kwenye Account yake ya Instagram

0 comments:

Post a Comment