Pichani ni mwalimu aliyechukizwa na kitendo cha walimu wanne
waliomshambulia Mwanafunzi kama wamekutana na Scorpion, pia alisikika
akisema "mwalimu muacheni mtamuumiza" naamini ameokoa wanafunzi wengi
wanaopigwa kama nyoka mashuleni.
HUYU NDO MWALIMU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU MBEYA DAY
0 comments:
Post a Comment