Je yeye ni sababu ya ATCL kushindwa kujiendesha? sidhani kufanya kazi
ATCL kama mke wa waziri ni kosa labda kama hana sifa inayotakiwa
kuajiriwa then itakuwa ni jipu hilo!!!!!!
Au ipitishwe sheria wake za mawaziri wasiruhusiwe kufanya kazi serikalini...
Toa maoni yako...
0 comments:
Post a Comment