Ni headlines za msanii Flora Mvungi ambae leo October 19, 2016
amefunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake.
Mimi sio mgeni macho mwa watu na wengi wananifahamu tabia yangu ikoje na
wengi wanafahamu page yangu ya instagram ikoje na sijawahi kumtukana
mtu bila sababu ya msingi kitu kikubwa’
‘Kikubwa ni kwamba ilivyotokea taarifa kwamba mimi ndio mmiliki wa
ukurasa wa instagram uitwao Marashi ya pemba iliniumiza sana na
kuniharibia hata kwa watu wengi ninaowaheshimu kwahiyo ningekupenda
kuwaambia mashabiki wangu kwamba zile taarifa za mimi kumiliki huo
ukurasa sio za kweli’
0 comments:
Post a Comment