Diamond platnumz ameendelea kukuza mziki wake baada ya kupata shavu
kubwa la kutumbuiza kwenye majukuu makubwa nchi Uingereza akiwa na mkali
kutoka marekani Neyo.
Mtandao wa Revolt Africa umetoa taarifa hiyo.
Diamond mwenyewe kwenye kipindi cha playlist cha Times FM alisema
amekuwa karibu na Neyo na kuna mambo makubwa anajifunza na wanafanya
pamoja
Ziara hiyo itafanyika kwenye miji 6 uko United Kingdom
0 comments:
Post a Comment