Video: Maneno ya Naj kuhusu Baraka kutambulika na Famili yake

Mrembo Kutoka Bongoflevani Naj ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mkali anayezichukua headlines kwa sasa na Hit song yake ya ‘Nisamehe‘ Baraka the Prince, Mtu wangu taarifa hii ikufikie kutoka kwa Naj ameweka wazi kuwa Familia yake inamtambua Baraka the Prince

‘Mama angu na Baba yangu wote wanamjua Baraka pia wamekuwa wakiwasiliana sana wakati mwinginwe wanachat sana kwa whatsapp pia mama angu anapenda sana kumtumia Baraka zile video za whatsapp za vichekesho kwa hiyo familia yangu inamjua‘>>>Naj

0 comments:

Post a Comment