Instagram: Maneno matatu aliyoyaandika Shilole baada ya kumpost Nuh Mziwanda

Leo September 15 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani Shilole amezichukua headlines baada ya kupost kwa mara ya kwanza aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda, Shilole ametumia mtandao wake wa Instagram kupost picha ya Nuh na kuandika maneno haya.

‘God Bless u‘>>>Shilolescreen-shot-2016-09-15-at-12-16-54-pm

0 comments:

Post a Comment